Watu watano wamefariki na wengine 11 kujeruhiwa katika mashambulizi ya kikatili ya umati yaliyosababishwa na uvumi wa uongo wa kupotea kwa sehemu za siri kote la Pwani. Kamanda wa Polisi wa eneo la Pwani Ali Nuno alipuuza madai hayo kama ya uongo, akionya wahalifu wanatumia hofu hiyo kuwaibia raia. Huku kukiwa na matukio 51 yaliyoripotiwa na watu 50 kukamatwa, Nuno aliwasihi wakaazi kukataa taarifa potofu na kuhusisha vyombo vya usalama.

ALI NUNO - RUMOURS