Mazungumzo yanayoendelea ya muungano kati ya UDA na ODM yanalenga kulinda amani na umoja wa kitaifa, kiongozi wa ODM Oburu Oginga amesema. Alisema ushirikiano huo utaweka kipaumbele sera zinazowanufaisha Wakenya wote na kukataa kabisa siasa za uchochezi.

OBURU OGINGA – TALKS