Idara ya Mahakama imetetea utendakazi wake, ikisema ilifikia kiwango cha asilimia 104 cha usuluhishi wa kesi wakati wa mwaka wa fedha wa 2024/25 kwa kutatua kesi nyingi zaidi kuliko zilizowasilishwa. Inasema kesi zinazosubiri kusikilizwa na mrundikano wa kesi umepungua licha ya kuongezeka kwa uwasilishaji wa kesi. Mahakama imewahimiza LSK kuachana na mpango wa kususia kazi kesho na badala yake kujadiliana kupitia mashauriano yanayoendelea.

CHARLES KANJAMA – BOYCOTT