Rais William Ruto amewasihi Wakenya wasiruhusu uchaguzi kudhoofisha umoja wa nchi. Akizungumza wakati wa mkutano na ujumbe wa viongozi wa ngazi za chini kutoka Kaunti ya Bungoma, Rais alibaini kuwa kutakuwa na maisha baada ya uchaguzi na kuwasihi Wakenya kudumisha umoja wakati wote. Aliwaambia Wakenya wasiruhusu kugawanywa na viongozi.


WILLIAM RUTO - ULIZA