LSK leo itaandaa Maandamano ya Kitaifa ya Mawakili wa Haki kufuatia vifo vya mawakili Edward Muthee na Esther Wairimu. Mawakili kote nchini wanatarajiwa kusimamisha majukumu yao na kuandamana kwa amani kudai haki, uwajibikaji na ulinzi ulioimarishwa kwa mawakili. Hii inafuatia kuuawa kwa Kariuki, ambaye mwili wake ulipatikana nje ya makazi yake ya Athi River na kifo cha Wairimu, Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria katika KFS, ambaye mwili wake ulipatikana baada ya kutoweka kwa wiki kadhaa. CHARLES KANJAMA