Wanaharakati wa haki za binadamu wamedai kwamba wenzao kadhaa walikamatwa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Saba Saba. Akizungumza jijini Nairobi, mwanaharakati Elisha Ochieng alidai polisi walivuruga maandamano yao yaliyopangwa kwenda Bungeni licha ya taarifa ya awali kwa mamlaka. Kamanda wa Polisi wa Nairobi Issa Mohamud anasema watu 10 walikamatwa katika mji mkuu; 6 huko Pangani na 4 katikati ya jiji.ELISHA OCHIENG – ARRESTS