Sehemu ya vijana kutoka Nairobi wamewakatisha tamaa wenzao dhidi ya kushiriki katika maandamano yaliyoitishwa na wanasiasa. Vijana wakiongozwa na Beth Kamau wanasema maandamano hayo yamedhoofisha uchumi na kuwataka viongozi kutafuta njia mbadala za kuwasilisha malalamiko yao. VOX POP – VIJANA