Waziri wa Nishati, Opiyo Wandayi, ametoa changamoto kwa taasisi zote kukumbatia nishati mbadala kama sehemu ya mpango mkubwa wa kupunguza gharama ya umeme nchini. Waziri huyo alisema hatua hiyo, mbali na kushughulikia athari mbaya za kukatika kwa umeme, pia itawezesha chanzo cha umeme rafiki kwa mazingira kuchochea ukuaji wa uchumi nchini. Wandayi alizungumza baada ya kuzindua Mfumo Mseto wa Nishati ya Jua katika Gereza la Usalama la Nairobi.OPIYO WANDAYI - INVESTMENTS
Advertisement
July 7, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing