Viongozi zaidi wanaibua wasiwasi kuhusu visa vinavyoongezeka vya ukasefu kufuatia wizi wa kutumia silaha wa hivi karibuni katika mgahawa mmoja huko Westlands jijini Nairobi. Jaji Mkuu wa zamani David Maraga ameonya kwamba Kenya ina hatari ya kuwa taifa lililoshindwa ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa ili kupunguza ongezeko la uhalifu.
DAVID MARAGA – WARNING
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles