Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Kijeshi, alitoa hotuba muhimu katika kongamano la kuimarisha utafiti wa msingi mjini Shanghai, mashariki mwa China, Aprili 30, 2026. (Xinhua/Zhai Jianlan)

Rais wa China Xi Jinping Alhamisi alihimiza juhudi zaidi na hatua madhubuti za kuimarisha utafiti wa msingi, kuongeza uwezo wa China wa ubunifu wa asili, na kuimarisha zaidi msingi wa kuijenga nchi hiyo kuwa na nguvu katika sayansi na teknolojia.

Xi, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Kijeshi, alitoa kauli hizo alipohudhuria kongamano la kuimarisha utafiti wa msingi mjini Shanghai.

Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Kijeshi, alitoa hotuba muhimu katika kongamano la kuimarisha utafiti wa msingi mjini Shanghai, mashariki mwa China, Aprili 30, 2026. (Xinhua/Yan Yan)