Kanisa hilo liko katika kambi ya wakimbizi ya Palabek.
Msemaji wa polisi wa Uganda Kituuma Rusoke alisema tukio hilo lilitokea mwendo wa saa 5:30 asubuhi. wakati waathiriwa walikuwa wamekusanyika kwa ibada ya maombi.
"Tukio hilo lilitokea wakati wa ibada ya maombi katika kanisa la Zone 8, Block 2. katika kambi ya makazi ya Palabek," Rusoke alisema katika chapisho la Jumapili kwenye X.
"Waathiriwa, ambao bado hawajatambuliwa, walikuwa wamekusanyika kwa ajili ya maombi wakati mvua ilipoanza.
Matukio hayo ya kupigwa na radi ni ya kawaida nchini humo, mnamo Juni, tukio kama hilo lilitokea katika shule moja katika Wilaya ya Nebbi kaskazini mwa Uganda na kusababisha wanafunzi 77 kujeruhiwa
Comments 0
Sign in to join the conversation
Sign In Create AccountNo comments yet. Be the first to share your thoughts!