Mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake wamepatikana na hatia katika kesi ya mauaji ya Shakahola inayohusisha vifo vya karibu watu 200. Hukumu hiyo ilitolewa na Jaji Diana Kavedza. Kifungo kimepangwa kutolewa tarehe 6 mwezi ujao.

DIANA KAVEDZA – JUDGEMENT