Jaji Mkuu wa zamani David Maraga ameunga mkono wito wa madaktari kushirikishwa katika kufanya maamuzi kuhusu utayari na mwitikio wa Ebola nchini Kenya. Hii inafuatia onyo la Chama cha Madaktari KMPDU kwamba wataalamu wa afya hawapaswi kuachwa kutekeleza mipango iliyoandaliwa bila michango yao. Maraga anasema wafanyakazi wa afya wako mstari wa mbele katika kukabiliana na Ebola na lazima washirikishwe katika maamuzi yanayoathiri kazi zao.

DAVID MARAGA – DOCTORS