Huku jumla ya visa vya Ebola vilivyothibitishwa nchini vikiongezeka hadi wanane, raia wamehimizwa kudumisha usafi mkali, kuepuka kugusana kimwili na kuripoti visa vinavyoshukiwa kupitia simu ya dharura ya 719. Katibu wa Afya ya Umma Mary Muthoni anasema Wizara ya Afya imefikia asilimia 97 ya ufuatiliaji wa watu waliogusana na mgonjwa wa kwanza. Muthoni anaongeza kuwa mamlaka zimeimarisha uchunguzi na ufuatiliaji kote nchini ili kuzuia kuenea kwa jamii.
MARY MUTHONI - TRACING