Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Ghebreyesus, ametoa wito wa kuwepo kwa mfumo wa udhibiti wa pamoja ili kuhakikisha kuwa AI inatumika kwa usalama, kwa kuzingatia maadili, na kwa usawa katika sekta ya afya. Akizungumza katika mkutano wa Kamati ya Kikanda ya WHO jijini Manila, Ufilipino, Tedros alisema kuwa mfumo huo unapaswa kuimarisha mifumo ya afya badala ya kuigawanya, na kuhakikisha kuwa nchi zenye rasilimali chache hazibaki nyuma.

TEDROS GHEBREYESUS – KOREA