Rais William Ruto ameahidi kuendelea na ujenzi wa hospitali ya Level 5 katika Kaunti ya Trans Nzoia, licha ya tofauti za kisiasa zilizopo kati yake na Gavana George Natembeya. Kulingana na Rais Ruto, ushindani wa kisiasa haupaswi kukwamisha miradi muhimu ya afya inayolenga kutoa huduma za matibabu maalum kwa wakaazi wa eneo hilo.
WILLIAM RUTO – HOSPITAL