Polisi katika Kaunti ya Kisii wameharibu lita 6,510 za pombe haramu, inayojulikana kama kangara, kufuatia operesheni katika Kijiji cha Mwata, Wadi ya Riana. Maafisa kutoka Kituo cha Polisi cha Kerina walifanya operesheni hiyo mnamo jumamosi, na kuharibu vifaa vya kutengenezea pombe vilivyopatikana eneo hilo. Huduma ya Kitaifa ya Polisi inasema imedhamiria kuendelea kupambana na pombe haramu pamoja na dawa za kulevya kote nchini.
Advertisement
October 19, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing