Kiongozi wa Chama cha Jubilee Fred Matiang'i amekosoa utawala wa Rais William Ruto, akisema kwamba sekta muhimu kama vile afya na elimu zinadorors huku uongozi ukizingatia sana kampeni za mapema za kisiasa. Waziri huyo wa zamani alimhimiza Rais Ruto kuacha kuweka kipaumbele siasa zisizoisha na badala yake kushughulikia mahitaji halisi ya watu.

FRED MATIANG’I – RUTO