Juventus walidumisha nafasi ya juu katika ligi ya Europa kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Celta Vigo jana usiku huku siku ya pili ya mechi ikiangaziwa. Mabao ya kipindi cha pili kutoka kwa Nick Woltemade na Randal Kolo Muani yalifuta bao la kwanza la Hugo Alvarez na kuhakikisha Juve wanapata ushindi wao wa pili mfululizo. Wakati huo huo, Bayer Leverkussen iliichapa Poznah 4-0 kutokana na mabao mawili ya Patrick Schick na kubaki wa pili kwenye jedwali wakiwa na pointi sita, huku Benfica ikiwashinda Celtic 4-0 na kusalia nafasi ya tatu na Bournemouth ikiwashinda Strum Graz 3-0.
Klabu nyingine ya Uingereza Sunderland iliishinda Torrense 2-1 na Crytal Palace ikalazwa 3-2 na Lyon huku AC Milan ikiwashinda Salzburg. 4-0. Mechi nyingine zilishuhudia Dinamo Zahgreb ikiishinda Anderletch 1-0 huku Olimpiakos ikiishinda Marseille 1-0 nayo Besiktas ikiwashinda Hoffenhaeim 3-2.
Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Nairobi.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.