Bayern Munich wanafuatilia kwa karibu hali ya kiungo mshambuliaji Florian Wirtz. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 hajafikia viwango vilivyotarajiwa tangu alipohama kutoka Bayer Leverkusen kwenda Anfield msimu wa joto uliopita, na ndani ya klabu ya Allianz Arena kuna imani kuwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani yuko tayari kurejea Bundesliga. Ingawa mazungumzo ndani ya klabu hiyo ya Ujerumani yanazidi kushika kasi, bado ni ya awali na hayajawa rasmi.



Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Gilgil, Nakuru na Nyahururu.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.