Waziri wa Nishati, Opiyo Wandayi, amewaonya wanasiasa wa upinzani dhidi ya kumdharau Rais William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza huko Siaya, aliwaambia wakosoaji wa muundo wa serikali hiyo jumuishi kuwa haitakuwa rahisi kumuondoa Rais madarakani. Huku akitolea mfano rekodi ya maendeleo ya Ruto, Wandayi aliwataka wale wanaojiweka katika upande pinzani kujiandaa kwa kinyang'anyiro kikali cha kisiasa.

OPIYO WANDAYI - TOA