Chombo kikuu cha afya barani Afrika kimepuuza kisa cha pili cha Ebola nchini Kenya, kikisema kuwa maambukizi mapya miongoni mwa watu ambao tayari wametambuliwa na kufuatiliwa na mamlaka za afya, hayamaanishi lazima kwamba mkurupuko huo unasambaa zaidi. Dkt. Wessam Mankoula, mkurugenzi wa Kituo cha Maandalizi na Kukabiliana na Magonjwa katika shirika la Africa CDC, alisema kuwa hali ya kutisha zaidi ingekuwa ni kugunduliwa kwa wagonjwa ambao uhusiano wao na visa vilivyopo haujulikani; jambo linaloashiria kuwa virusi hivyo vinaweza kuwa vinaenea katika jamii bila kugunduliwa.
Advertisement
October 16, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing