Wauguzi na wakunga katika Hospitali ya Mafunzo, Rufaa na Utafiti ya Chuo Kikuu cha Kenyatta wametoa ilani ya siku 21 ya mgomo kutokana na malalamiko ya kikazi ambayo hayajatatuliwa. Muungano wa Kitaifa wa Wauguzi na Wakunga nchini unasema kuwa wanachama wake wataanza mgomo tarehe 9 Novemba iwapo madai yao—yakiwemo kupandishwa vyeo, malimbikizo ya mishahara, malipo ya kiinua mgongo, na makubaliano ya CBA, hayatashughulikiwa.
Advertisement
October 15, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing