Wakati Kenya ikiadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha Raila Odinga, baadhi ya Wakenya wanajiuliza hali ya nchi ingekuwaje ikiwa 'Baba' angekuwa bado hai leo. Kutokana na gharama kubwa ya maisha na wasiwasi kuhusu utawala, je, angekuwa akiibana serikali ili iwajibike? Haya hapa ni maoni ya wale tuliozungumza nao.
VOX POP – RAILA.