Rais William Ruto amewaelekeza wabunge kubadilisha mfumo wa ufadhili wa elimu ili kuhakikisha kila mtoto anapata fursa ya kwenda shule, bila kujali uwezo wa wazazi wake wa kulipa gharama. Ruto anasema mfumo huo mpya, unaotarajiwa kuanza kutumika mwaka ujao, unapaswa kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wanapata elimu kwa usawa. Amelitaka Bunge kutunga sheria na sera zinazohitajika ili kuunga mkono mabadiliko hayo.

WILLIAM RUTO – MODEL