Tume ya EACC inakaribisha uamuzi wa Mahakama Kuu uliothibitisha hukumu za hatia na adhabu dhidi ya aliyekuwa Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, mkewe Susan Ndung’u, na washirika wao wawili kuhusiana na makosa ya ufisadi. Katika uamuzi uliotolewa jana, Jaji Rose Ougo pia alibatilisha uamuzi wa awali uliowaondolea mashtaka ya ulanguzi wa fedha. EACC inasema uamuzi huo unaimarisha juhudi za kufuatilia mapato yatokanayo na ufisadi na kuhakikisha kuwa wahusika wanawajibishwa.
Advertisement
October 15, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing