Wanasiasa wameambiwa waepuke kauli zinazoweza kudhoofisha imani ya umma kwa IEBC. Seneta wa Embu Alex Mundigi aliwapa changamoto wanasiasa kuhakikisha kwamba wanalinda uaminifu wa shirika hilo la uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao.

ALEX MUNDIGI – IEBC