Askofu wa Kanisa la ACK Dayosisi ya Nairobi Jonathan Kabiru anawataka Wakenya kuepukana na wanasiasa wanaoeneza mgawanyiko wa kikabila. Anawahimiza Wakenya kudumisha amani na kupinga majaribio ya kuwagawanya kwa misingi ya kikabila.

JONATHAN KABIRU – KENYANS