Kiongozi wa DAP-K Eugene Wamalwa amewaonya viongozi wa upinzani dhidi ya migawanyiko, akisema wamebaki pamoja kwa muda mrefu na wanapaswa kuepuka chochote kinachoweza kudhoofisha umoja wao. Wamalwa alisema migawanyiko katika hatua hii inaweza kukwamisha juhudi za upinzani za kumpinga Rais William Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.

EUGENE WAMALWA – OPPOSITION