Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Justin Muturi amemkosoa Rais William Ruto kwa kuwaita viongozi wa upinzani wapumbavu kutokana na mpango wao wa kufuta SHA iwapo watashinda Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Muturi anasema upinzani unapendekeza kufutwa kwa SHA kwa sababu, kwa mtazamo wao, bima hiyo ya afya bado haiwafikii Wakenya wengi.

 

JUSTIN MUTURI – SHA