Seneta wa Turkana James Lomenen ameomba taarifa kutoka kwa Kamati ya Usalama wa Kitaifa ya Seneti, kuhusu kuongezeka kwa wizi wa mifugo, mashambulizi ya silaha na vurugu kati ya jamii Kaskazini mwa Kenya. Anataka maelezo zaidi kuhusu hali ya usalama na hatua zinazochukuliwa na serikali kulinda maisha na mali na kurejesha amani katika jamii zilizoathiriwa.
JAMES LOMENEN – INSECURITY