Naibu Rais Kithure Kindiki anatarajiwa leo kukagua miradi mbalimbali ya serikali inayoendelea huko Chaka, Kaunti ya Nyeri. Aidha, Naibu Rais atafanya mikutano ya uhamasishaji wa umma katika maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo.
Advertisement
September 25, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing