Wapelelezi wamemkamata mshukiwa wa pili katika mauaji ya wakili Kyalo Mbobu, huku uchunguzi kuhusu kupigwa kwake risasi ukizidi. Nicholas Lemiso alikamatwa katika eneo la katikati mwa jiji la Nairobi na anadaiwa kumsafirisha mshukiwa mkuu, Konstebo wa Polisi Julius Cheruiyot, kwenda na kurudi eneo la mauaji ya Septemba tarehe 9, 2025. Washukiwa wote wawili wako kizuizini huku wapelelzi wakifuatilia taarifa zaidi.
Advertisement
September 25, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing