Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka amejibu madai ya Rais William Ruto kwamba hana mengi ya kuonyesha kwa miaka yake 40 katika uongozi. Kalonzo anasema mchango wake ni pamoja na kukuza amani katika eneo la Ukambani na kuendeleza maslahi na mwonekano wa jamii ya Wakamba, ambayo anasema haikutambuliwa kitaifa hapo awali.

KALONZO MUSYOKA – RUTO