Waziri wa Maji, Eric Mugaa, amewaagiza wanakandarasi wanaotekeleza miradi ya mabwawa katika Kaunti ya Tana River kuharakisha ujenzi na kukamilisha kazi hizo kabla ya kuanza kwa mvua ya El Niño. Waziri Mugaa alionyesha wasiwasi wake kuhusu kasi ndogo ya baadhi ya miradi, akionya kuwa ucheleweshaji unaweza kudhoofisha mipango ya serikali ya kuvuna maji ya mvua huku ikizitayarisha jamii kukabiliana na uwezekano wa mafuriko.

ERIC MUGAA – SPOT