Barcelona wameondoa uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Argentina, Julian Alvarez, kutoka Atletico Madrid mwezi Januari, huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 akisubiri kuona kama PSG au Arsenal zitawasilisha ofa kwa ajili yake, au kama anapaswa kubaki. Kwa upande mwingine, Liverpool haitakubali kumuuza kiungo wa Ujerumani, Florian Wirtz mwenye umri wa miaka 23 kwa Bayern Munich katika dirisha la usajili la Januari; klabu hiyo kubwa ya Ujerumani itafikiria kufanya jaribio la kumsajili msimu ujao wa joto tu iwapo winga wa Ufaransa, Michael Olise wa miaka 24, atakataa mkataba mpya.




Jua linashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.