Shirika la haki za wanubi limelaani kutoweka kwa mwanaharakati wa haki za binadamu Molinge Muteti, likitaja tukio hilo kuwa jaribio la kunyamazisha uanaharakati. Mkurugenzi Shafi Hussein anasema hakuna kiwango chochote cha vitisho kitakachowazuia kuzungumza, mradi tu wanaongozwa na sheria.
SHAFI HUSSEIN – ACTIVISTS