Seneta wa Samburu, Steve Lelegwe, ameiomba Seneti kutoa taarifa kuhusu operesheni ya usalama inayoendelea eneo la Samburu Mashariki. Lelegwe ameeleza wasiwasi wake kufuatia madai kuwa maafisa wa usalama wameua mamia ya mifugo na kuwapiga risasi wakaazi wasio na silaha wakati wa operesheni hiyo. Anataka serikali iwajibike na itoe ufafanuzi kuhusu mazingira ya matukio hayo yaliyoripotiwa, pamoja na hatua zinazochukuliwa kulinda usalama wa wakaazi.
STEVE LELEGWE – SHOOTING