Gavana Johnson Sakaja ameonya dhidi ya utupaji taka kinyume cha sheria, akisema taka zinazotupwa kwenye mitaro ya maji zinazuia mtiririko wa maji ya mvua na kudhoofisha juhudi za kupunguza mafuriko. Alisema timu za kaunti zimepata magodoro, blanketi, plastiki na taka zingine zinazoziba mitaro ya maji. Wakaazi wa jiji wanaweza pia kufanya matengenezo madogo kwenye nyumba zao bila kupitia michakato ya kawaida ya maombi na idhini ya kaunti.

JOHNSON SAKAJA – WAIVER