Mamlaka ya barabara kuu nchini KeNHA imewahakikishia madereva na watumiaji wengine wa barabara usafiri salama na usiokatizwa kabla ya mvua inaiotarajiwa ya El Niño. Akizungumza wakati wa ukaguzi wa Barabara ya Kamuwongo–Kandwia huko Mwingi Kaskazini, Mwenyekiti wa Bodi ya KeNHA Winfrida Ngumi alisema mamlaka hiyo imetekeleza hatua za kupunguza usumbufu, hasa karibu na madaraja na sehemu zingine za barabara zilizo katika hatari ya kukabiliwa na mafuriko na uharibifu wakati wa mvua hiyo kubwa.

 

WINFRIDA NGUMI - DISRUPT