Huenda unajiuliza ni nini kinachohitajika ili IEBC ipitie upya mipaka ya maeneo ya uchaguzi, na kwa nini mchakato huo umechelewa kwa zaidi ya miaka 12? Wakili wa masuala ya katiba, Ekuru Aukot, anasema mchakato huo unahitaji ushiriki wa umma na rasilimali za kutosha, lakini sekretarieti ya IEBC inatosha kuuanzisha. Aukot anasema mchakato huo unaweza kuathiriwa na wanasiasa, lakini haihitajiki tume iwe imekamilika kuundwa ili kuanza mapitio hayo, kwani umma pia una jukumu muhimu la kutekeleza.
EKURU AUKOT – SECRETARIAT