Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amewatahadharisha vijana dhidi ya kutumiwa na wanasiasa kuchochea vurugu, akiwahimiza kukataa siasa za mgawanyiko. Uhuru pia ametoa wito kwa Chama cha Jubilee kushirikiana na vyama vingine vya kisiasa vyenye mtazamo sawa katika harakati za kutafuta uongozi. Anasema ushindani wa kisiasa unapaswa kuzingatia hoja na uongozi, badala ya kuwahamasisha vijana kushiriki katika vitendo vya vurugu.
UHURU KENYATTA – YOUTH