Naibu kiongozi wa DCP Cleophas Malala anadai Msajili wa Vyama vya Siasa anakatisha tamaa juhudi za Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna za kusajili chama chake cha siasa. Malala amemsihi Sifuna kuendelea na chama hicho, akisema Wakenya watamkubali bila kujali chama cha kisiasa anachochagua. Anasema Sifuna anapaswa kuhukumiwa kwa uongozi wake badala ya ushiriki wa chama.

CLEOPHAS MALALA – SIFUNA