Mbunge wa Kibwezi Magharibi, Mwengi Mutuse, amemkosoa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta baada ya kiongozi huyo kudai kuwa Raila Odinga alishinda uchaguzi wa urais wa mwaka 2022. Akizungumza huko Kalii, Makindu, Mutuse alimtuhumu Uhuru kwa kujaribu kufufua migawanyiko ya zamani ya kisiasa na kumtaka aache kutumia mbinu za kisiasa kuleta mwanya kati ya viongozi wa UDA na ODM.
MWENGI MUTUSE - DANGANYA