Aliyekuwa Waziri wa Usalama, Fred Matiang’i, amewataka wanachama wa Chama cha Jubilee kuheshimiana na kushirikiana vyema na Wakenya. Matiang’i anasema bado kuna kazi kubwa ya kufanya katika kulijenga taifa, huku akionya kuwa hakuna taifa lolote lililojengwa kwa matusi na migogoro. Ametoa wito wa ushirikiano wenye tija na umoja miongoni mwa wanachama wa Jubilee wanapoendeleza shughuli zao za kisiasa.

FRED MATIANG’I – RESPECT