Naibu Rais Kithure Kindiki amewajibu wakosoaji wa serikali kwa kuwashutumu kwa kuendelea kulaumu utendakazi wake. Akizungumza huko Maragua, Kindiki aliitetea serikali, akisema inatekeleza miradi ya maendeleo inayolenga kuiboresha nchi. Aliwataka viongozi wa upinzani kueleza rekodi yao ya maendeleo na kuainisha mambo waliyofanikiwa kutimiza waliposhikilia nyadhifa za juu katika serikali zilizopita.


 


KITHURE KINDIKI-REVEAL