Kikosi cha Kenya U23 kiliripoti kambini jana jioni kuanza maandalizi ya mechi ya kufuzu ya AFCON U23 dhidi ya Tanzania, iliyopangwa kufanyika Jumatatu katika Uwanja wa Nyayo. Hata hivyo, wachezaji hao wanaocheza nje ya nchi bado hawajapokea tiketi zao za ndege kwa ajili ya mechi hiyo.  Timu hiyo inaongozwa na kocha mkuu, Anthony Kimani, akisaidiwa na Salim Babu na Osborne Monday. Duncan Ochieng ndiye kocha wa makipa huku Kevin Kimani akiwa kocha wa kuimarisha kikosi.








Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Nanyuki, Meru na Isiolo.
Ili kupata habari zaiddi tembelea tovuti ya radiojambo.