Mshambuliaji wa zamani wa Harambee Stars, Taiwo Atieno, anatarajia kurejea katika soka la kulipwa nchini Kenya, huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41 akionyesha nia ya kucheza Ligi Kuu ya Kenya katika msimu wa 2026/27. Atieno aliacha soka la kulipwa zaidi ya muongo mmoja uliopita lakini sasa anataka kurejea na kuchangia katika ukuaji wa mchezo huo nchini Kenya. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Luton FC aliichezea Kenya mechi tano za kimataifa kati ya mwaka 2009 na 2012.



Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.