Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya wamepata pigo kubwa baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukataa pendekezo lao la kubadili jina la Chama cha UDP. UDP inahusishwa na marehemu Mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo. Msajili alisema jina la Ukombozi linafanana na Muungano wa Ukombozi (TUA) ambao ulibadilishwa jina kutoka Muungano wa Azimio La Umoja.

KALONZO MUSYOKA – UKOMBOZI