Polisi wanasema wanachukua hatua kukabiliana na vitendo vya uhuni nchini. Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Eliud Lagat, alionya kuwa serikali haitavumilia tabia hiyo na kuwasihi vijana wasishawishiwe na wanasiasa kujiunga na makundi ya aina hiyo. Alisema polisi wataendelea kuchukua hatua dhidi ya watu wanaohusika na vurugu na kuvuruga mikutano ya hadhara.
ELIUD LAGAT-GOONS